Mabwawa Yakauka Naitiri

Shule ya wasichana ya naitiri huko tongaren kaunti ya bungoma inashuhudia uhaba mkubwa wa maji.Hii ni baada ya mabwawa yote kukauka kutokana na msimu wa kiangazi.

Mkuu wa shule hiyo isabela nakitare anasema zaidi ya wanafunzi 600 walioko shuleni humo wamekuwa wakitegemea maji kutoka mabwawa hayo.

 Anasema uhaba huo utaathiri pakubwa shughuli za masomo katika shule hiyo.Ya wasichana.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *