ELGEIYO MARAKWET; WAFANYIKAZI 11 KUAJIRIWA

Serikali ya kaunti ya Elgeyo Marakwet inapania kuwaajiri wafanyikazi 11 watakaoende kufanya kazi katika idara ya mifugo kama njia moja ya kuepukana na uhaba WA wafanyikazi katika idara hiyo.
Kulingana na afisa mkuu katika idara hiyo Benson Kibore shuguli za idara hiyo imetatizika kufuatia uhaba huo akisema kuwa zaidi WA wafanyikazi 50 wamestaafu.
Akiongea  mjini iten  Kibore amedokeza  kuwa  Wakazi WA kaunti wanategemea ufugaji WA n’go mbe hivyo basi swalahilo linafa kutatuliwa 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *