Ni uwoga kuwakamata wakimbizi

Askofu wa jimbo katoliki la Nakuru Cleophas Oseso Tuka amekashifu serikali kutokana na visa vingi vyanavyokithiri vya utekaji nyara kwa raia wa humu nchini na kimataifa.

Askofu Tuka akirejelea kisa cha kukamatwa kwa kiongozi wa upinzani Uganda Kizza Besigye,akisema kuwa huo nitendo la Uwoga  ikizingatiwa kuwa kila anayehamia taifa lolote lile sharti apewe ulinzi wa kutosha.

Askofu huyo pia alitetea kauli ya maaskofu wa kanisa katoliki akisema kwamba yale waliyoangazia yanahusu taifa na wala sio ya kibinafsi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *