Mbunge aombwa kukamilisha Miradi

Vijana kutuko  eneo bunge la Mogotio county ya Braingo wametoa  wito kwa mbunge wao Daniel Tuitoek kuangazia na kukamilisha miradi ya  maendeleo ambazo zilianzishwa  katika eneo bunge hilo.

Kulingana na vijana  hao wakiongozwa na Melvin Kiprop  mbunge huyo anaonekana kushugulika na ugavi na kusambaza fedha za basari bila kuzingatia maendeleo kama vile ujenzi wa barabara. Aidha vijana hao wameongeza kuwa shuguli za uchukuzi katika eneo hilo zimetatizika kufuatia barabara mbovu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *