Mchezaji wa zamani wa timu ya kitaifa ya raga Allan Makaka ameaga

Taarifa za hivi punde ni kuwa mchezaji wa kitambo wa timu ya taifa ya Raga Allan Makaka Shisiali ameaga dunia asubuhi ya leo baada ya kuhusika kwa ajali mbaya ya barabarani.

Ajali hiyo imetokea kwenye barabara kuu ya Mombasa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *