Hell’s Gate yahisi Uzito wa Corona

idadi ya wageni wanaozuru kivutio cha kitalii cha Hell’s Gate kaunti ya nakuru imepungua kwa asilimia 30 kufuatia hofu bya maambukizi ya virusi vya corona.

ni hali inayohofiwa huenda ikawa mbaya zaidi shirika la kws likitarajiwa kufungua rasmi eneo hilo kwa wageni miezi saba tangu kushuhudiwa vifo vya watu saba vilivyosababishwa na mafuriko katika eneo hilo. naibu mkururungezi eneo la kati mwa kenya dickson rita amethibitisha hayo akisema ilitarajiwa kufuguliwa rasmi baada ya mwezi ya mmoja baada ya mikakati yote ya usalama kuwekwa kwa wanaozuru eneo  hilo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *