Mvua kubwa Kakamega yaleta Hasara shuleni

Mali ya thamani ya zaidi ya shilingi milioni tatu imeharibika katika shule ya msingi ya Kiliboti kaunti ya Kakamega baada ya mvua kubwa kunyesha na kuharibu afisi na darasa shuleni humo.

Mwalimu mkuu wa shule hiyo Wanjala Makokha ametoa wito kwa wasamaria wema kujitokeza na kutoa msaada.

Mvu iliyonyesha na upepo mkali uling’oa paa ya majengo na kuharibu vitabu na vifaa vingine kulowa maji.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *