Wahudumu wa BODABODA kusajiliwa

muungano wa wahudumu wa bodaboda  nchini sasa unalenga kusajilisha wahudumu zaidi ya millioni 1.3 kote nchini katika juhudi za kuweza kuwatambua kwa urahisi pindi kunapokuwa na tatizo.  mwenyekiti wa muungano huo  nchini kevin mbadi amesema wahudumu wengi wamelaumiwa kufuatia kudorora kwa usalama katika  maeneo mbalimbali nchini jambo ambalo anasema  litafika kikomo kupitia mpango huo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *