Abdirisak Jaldesa; Vilabu bado ni Marufuku Leave a Comment Kamishna anayeondoka wa kaunti ya Uasin Gishu Abdirisak Jaldesa, ametoa onyo kali kwa wamiliki wa vilabu ambao wanakwenda kinyume na marufuku ya kufunguliwa kwa maeneo hayo kwamba hatua kali ya sheria itachukua mkondo wake.