Elgeiyo Marakwet- Wauguzi Hawana Vifaa Maalum Leave a Comment Wauguzi katika kaunti ya Elgeyo Marakwet wameonyesha kugadhabishwa kwa kile wanachosema kuwa hawajapata vifaa vya kujikinga wanapoendeleza shuguli za matibabu (PERSONAL PROTECTIVE EQUIPMENTS)