Maandalizi kwa ajili ya sherehe ya kumpokea Askofu mteule wa jimbo Katoliki la Eldoret Dominic Kimengich yamefikia kilele huku waumini wakisubiri hamu na ghamu hafla hiyo ya kesho. Kwenye kikao na wanahabari mapema leo, padre mkuu William Kosgei amesema kuwa kila kitu kiko tayari na kwamba ratiba ya shughuli zitakazoambatana na mapokezi hayo imekamilika.
Maandalizi kumkaribisha Askofu Mpya
