Bungoma; Wazazi Watakiwa Kulipa Karo kwa wakati

Wazazi katika kaunti ya Bungoma wametakiwa kushirikiana na walimu na kulipa karo ya wanao kwa wakati unaofaa kama njia pekee ya kuwapa nafasi bora ya kuzingatia katika masomo yao.

Mwalimu mkuu wa shule ya upili ya wavulana ya Teremi eneo bunge la Kabuchai kaunti ya Bungoma Benard Wamaanga akiongea na kituo hiki afisini mwake amesema kuwa imekuwa changamoto kuu kwao kwa wazazi kutolipa karo ya wanao kwa wakati jambo alilosema linaathiri shughuli za masoma akiwataka wazazi hao kushirikiana na walimu kwa kuwaelimisha wanao.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *