Mjitenge na manunguniko

Wito umetolewa kwa wakristu kukoma kuwa na manunguniko maishani mwao maana mwenyezi mungu anawajali.

Kwa mujibu wa mwadhama kardinali Yohana Njue akizungumza wakati wa family day katika kanisa la Mtakatifu Teresia wa Mtoto Yesu NYS Chur ni kwamba wakristu wanapaswa kujiepusha na hulka hii ambayo anasema inaweza msongesha mja na muumba wake mbali katika kuuridhi ufalme wa mbingu.

Amewataka wao kutambua kwamba licha ya changamoto wanazopitia maishani mwao,hawapaswi kuwa wa kulalamika bali waweze kusimama imara katika imani yao kila muda.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *