Kwa mujibu wa familia yake marehemu ameaga dunia mwendo wa saa saba unusu usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya agha ghan jijini Nairobi alikokuwa akiendelea kupokea matibabu Atakumbukwa kwa mchango wake wa kufanikisha mfumo wa vyama vingi swa na mwansilishi wa chama cha TNA
Hayo yakijiri viongozi wanatarajiwa kuhudhuria mazishi ya joseph irungu mwangi babake senator wa murang’a irungu kang’ata aliyeaga dunia akiwa na umri wa miaka 81 baada ya kuugua ugonjwa wa saratani
Naibu wa rais wiliam ruto pamoja na kinara wa ODM raila odinga pia wanatarajiwa kuhudhuria mazishi hayo