wakenya wanatarajiwa kugharamia zaidi kulipia mafuta kwa siku 30 zijazohii ni baada mamlaka ya kudhibiti kawi nchini erc kutangaza bei mpya ya bei hiyo ya mafuta.mabadiliko hayo yatapelekea lita moja ya mafuta ya petroli, yale ya diseli, na mafuta taa kuongezeka kwa shillingi 2.67, diesel imeongezwa kwa shillingi 2.13 huku bei ya mafuta taa ikipunguzwa kwa shillingi 1 .26.
jijini Nairobi lita moja ya mafuta ya petrol na ile ya diesel pamoja na ile mafuta taa yatauzwa ykwa shillingi 112 .87, shilingi 104.45 na shillingi102 mtawalia.Bei hizo za mafuta zinaanza kutekelezwa kuanzia leo leo usiku hadi tarehe 14 mwezi ujao machi.Mnamo mwezi January mamlaka hiyo ili ilongeza bei ya mafuta petrol diesaek na mafuta taa kwa senti 70 senti54.1 na senti 64 mtawalia.