Askofu wa jimbo kuu katoliki la Nairobi Philip Anyolo Subira amewataka wanaume kutotumia taasubi za kiume kama ngao ya kutojua hali yao ya kiafya.
Kulingana naye,wanaume wengi wanasusia kutambua hali ya afya kasutokana na kasumba kwamba miili zao ina nguvu ya kupambana na magonjwa hao swala ambalo limepelekea wanaume wengi kuangamia.
Halikadhalika,askofu huyo ametaka kila mmoja kuhakikisha kila muda wanatemebea hospitalini ili kutambua hali yao ya afya hasa ili kupambana na magonjwa sugu.