Hospitali yatia saini ya makubaliano cba

Hospitali ya mtrh imetia saini mkataba wa makubaliano wa utendakazi cba na chama cha kutetea maslahi ya wauguzi nchini knun.

Akizungumza baada ya kutia sahihi mkataba huo,mkurugenzi wa Hospitali ya mafunzo na rufaa ya Moi Eldoret Dkt.Wilson Arwasa alisema mkataba huo utahakikisha malalmishi ya wafanyikazi utaafikiwa kwa urahisi kwani kuna mwito wa mazungumzo kwenye mkataba huo.

Kwa upande wake katibu mkuu wa muungano huo wa wauguzi Seth Panyako akipongeza hatua ya kuwepo makubaliano kwenye muungano huo akisema huu utahakikisha utandakazi bora kwenye sekta ya afya nchini.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *