WAFANYIBIASHARA:Tushirikiana pamoja

Muungano wa wafanyibiashara  knicc tawi la Uasin Gishu  umeitaka  bunge  la kaunti  hiyo kuharakisha kupitisha sheria itakayotoa mwongozo wa namna  sekta  ya kibinafasi itaweza kushirikiana na  serikali ya kaunti  hiyo  ili kuimarisha uwekezaji.

kulingana na mwenyekiti wa muungano huo Willy Kenei  akiongea wakati wa mkutano na uongozi wa kaunti ya Uasin Gishu ukiongozwa na gavana  Jonathan Bii na wafanyibiashara ambako waliitaka kuboreshwa mazingira  ya kibiashara mjini eldoret, huku wakiahidi kushirikiana na kaunti kuhakikisha mji wa Eldoret unapandishwa ngazi na kuwa  jiji chini ya mwaka mmoja ujao.

Gavana Chelilim kwa  upande wake aliahidi kuboresha hali ya usalama mjini humo na pia kuboresha mazingira  ya viwanda  na biashara  na hata utalii .

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *