MAGOHA:Cbc kufaulu

Waziri wa Elimu nchini Profesa George Magoha alisema Kwamba zaidi ya asilimia 50 ya ujenzi wa madarasa yanayolenga kutumika kutokana na mfumo mpya wa Elimu CBC iko karibu karibu kukamilika.


Kwenye mkao na wanahabari katika Shule ya upili ya Umoja Eldoret katika Kaunti ya Uasin Gishu alidokeza kwamba madarasa hayo 3500 huenda yakakamilika kabla ya uchaguzi mkuu ujao ama hata baada ya uchaguzi huo.

wakati huo waziri akichukua fursa hiyo kuelezea sababu za kuwatuma wanafunzi Kwa likizo fupi bila ya Kuwahamashisha wazazi akidokeza kwamba Nia yake kuu ni kuruhusu shughuli ya uchaguzi uweze kwenda vyema na pia Kwa Usalama wa wanafunzi ikizingatiwa shule nyingi hasa zatumika kama vituo vya kupiga kura.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *