Magoha; Hakuna atakayeshinikiza Serikali Kufungua Shule

Hakuna atakayeshinikiza serikali kuwarejesha watoto shuleni .

ndio kauli ya waziri wa elimu prof George magoha anayesuta mashirika ya kimataifa unicef  na who  yanayoshinikiza serikali kurejesha watoto shuleni baada ya masomo  kusitishwa kufuatia janga la corona.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *