Baba zero apoteza kizazi kijacho

Askofu wa jimbo katoliki la Nyahururu Joseph Mbatia amewataka kina baba kumakinikia jukumu lao la Malezi ili kizazi kijacho kisije kikafuata mkondo usiofaa.

Akizungumza katika kanisa la Mary Immaculate askofu Mbatia amesisitiza haja ya kina baba kuwa mfano mwema kwa wanao kupitia matendo yao mema nay a kujenga taifa.

Amesikitikia visa vingi vya kuvunjika kwa familia nyingi kutokana na kile anasema kina baba kukwepa majukumu yao swala analosema lisiposhughulikiwa mapema huenda ikasambaratisha uongozi wa kesho.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *