ASKOFU OWAA:Jitengeni na Dhambi

Wito umetolewa kwa wakristu kujisadaka bila kujibakisha kwa manufaa ya kujikatia tiketi ya kuutwa ufalme wa mbingu.

Askofu wa jimbo katoliki la Ngong John Obala Owaa amesisitiza haja ya kila mmoja kumtambua huyo kristu kwa manufaa ya kuimarisha imani yao.

Aidha,askofu Owaa alisisitiza haja ya wakristu kujitenga na dhambi kwa kujitolea kwao kikamlifu kwa kuimarisa imani yao na kujitenga yale ambayo huenda yakawarejesha nyuma kiimani.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *