MISHRA:UHURU WA UONGOZI

Mbunge wa Kesses Swarup Kiprop Mishra amewasuta wapinzani wake ambao wanaopendekeza wawaniaji wanaomezea mate vita vya kisasa kaunti ya Uasin Gishu kupitia vyama vingine kando na United Democtaric Alliance UDA kutochaguliwa kwenye uchaguzi mkuu ujao wa Agosti 9 mwaka huu.

Akiongea wakati wa kuwakabidhi mipira na jesi wachezaji kandanda katika eneo bunge hilo,Mishra amedai taifa hili ni la kidemokrasia na kila mkenya anayo haki ya kumchagua kiongozi anayependezwa nae na vilevile kiongozi huyo anayo uhuru wa kusimama kupitia chama chochote.

Aidha,Mjumbe huyo alisikitishwa na wanasiasa ambao hutumia mihanya zilizopo kati ya vijana ya kukosa ajira kuwatumia vibaya kisiasa kuzua rabsha kwenye mikutano ya wapinzani hao kwa hili akisema sharti likome.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *