WA DINI:Wataka usawa

Wasomi wa dini la kiislamu wamelalama kuhusu watu kutoka dini hiyo kusahulika kwenye shughuli za Serikali za kaunti na Serikali kuu.


Wakiongozwa na Mwenyekiti wa Wasomi hao nchini Sheikh DKt.Hassan OmarĀ  wakiongea mjini Eldoret walisema wamesikitishwa na hatua ambayo jopo kazi lililoteuliwa na Rais Ruto kwamba hakuna mwiislamu ambaye aliwekwa ndani swala walisema linavunja moyo.


Sasa wanataka kila shughuli inayoendelezwa na Serikali iwajumuishwe ndipo wahisi wanatambuliwa.


Kadhalika, Sheikh Abubakar Bini ambaye ni mwenyekiti wa baraza la maimamu kaskazini mwa bonde la ufa kwamba wizara husika ya uhamiaji iweke maanani kwamba wakenya wanaangaika kutafuta passpoti Kwa anachosema inachukua muda mrefu mno kuzipokea vyeti hivyo huku wengine wakikosa kupata vyeti hivyo .

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *