BISHOP KIMENGICH :Heshimuni sacramenti ya ndoa

Himizo limetolewa kwa wanandoa kuhakikisha wamezidisha upendo wake kristu katika familia yao ndipo familia hizo ziweze kudumu.

Akiongea katika kanisa la St.Francis Kabeiyot askofu wa jimbo katoliki la Eldoret Dominic Kimengich amesema ni kupitia upendo ambapo familia itasimama na wanandoa hao kustahimili mawimbi ya maisha.

Aliwataka wakristu kuheshimu sacramenti ya ndoa maana imebarikiwa na itawasaidi kuyatengeneza mapito yao.

Kadhalika askofu aliwaomba wanafamilia kuzidisha sala kila mara maana bila sala wanaweza wakakosa kupata upendo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *