Sang; serikali kuu inastahili kuwekeza katika sekta ya majani chai

Gavana wa kaunti ya Nandi Stephen Sang ametaka serikali kuweka mikakati zaidi, ili kuboresha ukulima wa chai katika kaunti hiyo.

Akizungumza katika kaunti ya Nandi Sang amesema kuwa licha ya juhudi za serikali kupunguza bei za pembejeo, serikali inastahili kadhalika kujenga na kuweka mashine za kisasa za kutengeneza chai ili kufikia kiwango hitajika.

Ametoa wito kadhalik kwa serikali kuwapa wakulima hao mkopo ambao utafanikisha upandaji na utunzaji wa zao Hilo kwenye kaunti hiyo kwa faida ya ufanisi wa upanzi wa zao hilo.

Kauli ya Sang kadhalika imepigwa jeki na mbunge wa Nandi hills Bernard Kitur

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *