Kanisa, chemchemi ya maadili

Wazazi wametakiwa kuwapeleka wanao katika shule zinazodhaminiwa na kanisa kama njia moja ya kutokomeza maovu yanayoshuhudiwa katika vyuo nchini.

Balozi wa Baba mtakatifu nchini na Sudan Kusini mwadhama Mathews Maria Van Magen alisema kuwa shule ambazo zinamilikiwa na kanisa katoliki Zina msingi Bora ya kikristu ambayo itaimarisha Imani Yao na hata kupata uzoefu wa kukabiliana na changamoto mbalimbali za maisha.

Kadhalika balozi huyo alitoa wito kwa wakenya kuegemea shule hizo akisema kuwa zinawapokea wanafunzi wote bila kujali dini au rangi na hata miegemeo ya kiimani

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *