Saidieni bila miegemeo

Viongozi wa kidini wamewataka wakristu kuhakikisha kwamba wanadhihirisha ukristu wao kwa kuwasaidia wengine pasi na ubaguzi wowote.

Wakiongozwa na askofu wa jimbo katoliki la Mark Kadima Bungoma na yule wa Kakamega Joseph Obanyi Sagwe walisema kwamba ukristu sio tu kumpokea kristu katika maisha ya mkristu ile pia ni kupitia matendo mema kwa wengine.

Alisema kwamba wakristu wanapaswa kushirikiana kwa mapendo na umoja ambao anataja itawaelekeza kwa kuridhi ufalme wa mbingu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *