Kerio; Viongozi muongee ama niwaombee

IPo haja ya viongozi katika eneo pana la bonde la Ufa kushiriki mdahalo kama njia moja ya kutafuta suluhu la kudumu katika bonde la Kerio.

Askofu wa jimbo katoliki la Eldoret Dominic Kimengich, ameshangazwa ni kwa nini viongozi wa eneo ambalo limeathirika na machafuko hawajaandaa mdahalo wa kutafuta suluhu kwa changamoto hizo.

Kuhusu mgomo wa madaktari Askofu Kimengich kadhalika, ametoa wito kwa muungano wa madaktari kulegeza misimamo mikali na kushiriki mdahalo akisema kuwa huenda wakenya wengi, wakaangamia kutokana na mgomo huo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *