Bishop Mairura; mapadre wajitenge na ya dunia

Ipo haja ya kuenda kazi katika shamba la bwana kwa uaminifu na kusimamia ukweli siku zote.

Haya ni kwa mujibu wa askofu wa jimbo katoliki la Kisii Joseph Mairura Okemwa ambaye amewataka makleri na majandokasisi kurejelea ahadi yao waliotoa kwa mwenezi Mungu baada ya masomo na majiundo yao kusimamia ukweli na kujitenga na mabo ya kidunia kila wanapotekeleza wajibu wao.

Askofu huyo kadhalika alitoa wito kwa kila mmoja kuishi wito wake kikamilifu akihoji kuwa kila mmoja atahukumiwa kulingana na wajibu wake katika siku za kiama.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *