Peter Chomba; Usalama Uimarishwe Eldoret.

Mwakilishi wa wadi ya Huruma kaunti ya Uasin Gishu Peter Chomba, ametoa wito kwa idara ya usalama kaunti hii kumakinika na kukabili visa vya uhalifu anavyosema vimekithiri eneo hilo. Chomba amesema wakazi wa eneo hilo…

Gavana Kimemia Awafuta Kazi Mawaziri

Gavana wa Nyandarua Francis Kimemia amewafuta kazi Mawaziri wanne saa chache tu baada ya kikao cha kuangazia utendakazi wa mawaziri kwa muda wa miaka miwili ambayo amehudumu kukamilika. Wanne hao wametimuliwa usiku wa manane leo hii,…Moi University; Wanafunzi 700, Kukosa Kufuzu

Ni pigo kwa wanafunzi wa chuo kikuu cha MOI waliokosa majina kwenya orodha ya watakaofuzu baada ya mahakama jijini Nairobi kutupilia mbali kesi iliyowasilishwa mahakamani kusitisha hafla hiyo. Hii ni baada ya wanafunzi zaidi ya…


Kakamega; Wakazi Kususia Shughuli Ya “Census”

Shughuli za kuhesabu watu almaarufu Sensas huenda ikalemazwa katika kaunti ya Kakamega, baada ya wakaazi wa kata ya shanda eneobunge la Malava kutishia kususia zoezi hilo, kwa madai ya kuwepo na mapendeleo katika uteuzi wa…


Narok; Mke Amtafuna Mumewe

Mwanaume mmmoja mwenye umri wa miaka 34 anauguza majeraha katika hospitali ya rufaa ya Narok, baada ya mkewe kumuuma mdomo kufuatia mzozo wa kinyumbani. Mwanaume huyo kwa jina Benson Onsongo, anasema kuwa ugomvi ulianza baada…


Sapit; Msiyagawanye Makanisa

Kiongozi wa kanisa la kiangilakana nchini askofu mkuu Jackson Ole Sapit ametoa wito kwa viongozi wa kidini nchini kumaliza utata uanaoshuhudiwa katika makanisa kwa njia ya amani. Akizungumza kule Bungoma Sapit amesema kuwa kanisa linafaa…


Facebook189
Twitter38
Google+
Follow by Email