SIKU YA MTOTO MWAFRIKA

Maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika hufanyika 16 Juni kila mwaka kufuatia mauaji ya watoto zaidi ya 2,000 yaliyofanyika katika kitongoji cha Soweto nchini Afrika ya Kusini mwaka 1976. Watoto hao waliuawa na polisi…


KENYA NA ULIMWENGU MZIMA YAADHMISHA SIKU KUU YA EID.

Usalama umezidi kuimarishwa kote nchini wakati waumini wa dini ya kiislamu wanaendelea kuadhimisha sherehe za Eid ulimwenguni. Wakazi wa Eldoret hawajawachwa nyuma huku wasio wa dini hio ya kiisilamu wakiwatakia wenzao Eid Mubarak. Akizungumzia radio…


UZERUZERU

Tarehe 13 June kila mwaka,dunia nzima huungana kusherehekea uhamasisho kuhusu uzeruzeru. Katika makala ya wiki hii ya maisha ya walemavu tunaangazia ,sababu zinazopelekea hali hii, na jinsi baadhi ya watu wanaokabiliana na changamoto hii waweza…


ULEMAVU, ELIMU NA ITIKADI

Katika maeneo mengi nchini Kenya, watoto walio na ulemavu bado wanapitia changmoto si haba zinazotatiza juhudi zao za kuishi maisha ya kawaida. Kwa baadhi ya watoto hawa, itikadi kali, hali ya umasikini na ukosefu wa…
Facebook189
Twitter38
Google+
Follow by Email