TAARIFA ZA KANISA

Sapit; Msiyagawanye Makanisa

Kiongozi wa kanisa la kiangilakana nchini askofu mkuu Jackson Ole Sapit ametoa wito kwa viongozi wa kidini nchini kumaliza utata uanaoshuhudiwa katika makanisa kwa njia ya amani. Akizungumza kule Bungoma Sapit amesema kuwa kanisa linafaa…


Bishop Kihara Awasihi Kanisa Kuwalinda Watoto.

Naibu Mwenyekiti wa baraza la Maaskofu Wakatoliki nchini Kenya (KCCB) Rt. Rev. Peter Kihara, amesema unyanyasaji wa watoto ni ukweli na kwamba Kanisa lazima ikabiliane nayo. Amesema kanisa inafaa kukabiliana  na kupanda kwa unyanyasaji wa…


Askofu Oballa; Tumikieni Wasiojiweza

Askofu wa jimbo katoliki la Ngong askofu John Oballa ametoa wito kwa mapadre kuwa mstari wa mbele kuwahudumia wasiojiweza, walio na mahitaji mbalimbali badala ya kutangamana na matajiri na wale walio katika nyadhifa kwa ajili…


St Jude Huruma; Ni Jubilei 25

Askofu msimamizi wa jumbo katoliki LA Eldoret askofu Maurice Crowley ametoa with kwa wakristu kuisha maisha ya sakramenti akisema ndio njia moja tu yakurithi ufalme wa mbingu.Askofu aliyasema haya katika misa ya kusherehekea miaka 25…


Akufaaye Kwa Dhiki Ndiye Rafiki.

Padre Nicholas Kimenjo kutoka parokia ya Nakwamoru, jimbo katoliki la  Lodwar ameshukuru jimbo katoliki la Eldoret kwa msaada na urafiki uliopo kati ya majimbo hayo mawili. Akionge baada ya kupokea msaada wa chakula kutoka jimbo…Facebook189
Twitter38
Google+
Follow by Email