Articles by upendofm news

Wesley Rotich; Tuyatunze Mazingira

Baadhi ya viongozi kutoka kaunti ya Elgeyo Marakwet wametaka bunge la kitaifa kupitisha mswada unaolinda maeneo yalioinuka kwa kuwahamisha watu wanaoishi katika maeneo hayo. Wakiongozwa na naibu gavana wa kaunti hiyo Wisely Rotich , viongozi…


Pokot Magharibi; Mama Mjaamzito Aaga Kwa Njia Tatanishi

Mwanamke mmoja mjamzito kaunti ya Pokot magharibi amefariki katika njia ya kutatanisha baada ya kuripotiwa kukosa huduma katika hospitali ya rufaa ya Kapenguria. Kulingana na mwakilishi wa wanawake kaunti hiyo Lilian Tomitom, marehemu alikosa huduma…


Siku Kuu Ya Mashujaa

Rais Uhuru Kenyatta ameongoza taifa katika maadhimisho ya siku kuu ya mashujaa, huku akiwatambua wanariadha Eliud Kipchoge na Brigid Kosgei, kutokana na ufanisi walioandikisha kwenye mbio ambazo walishiriki majuzi. Katika hotuba yake kwa taifa rais…Murkomen; Kimwarer na Arror Kuendelea

Viongozi kutoka katika kaunti ya Elgeiyo Marakwet wameapa kuhakikisha kuwa mradi wa ujenzi wa bwawa la Kimwarer na Arror hausitishwi. Seneta wa kaunti hiyo Kipchumba Murkomen kwa mara nyingine, amesema kuwa kama viongozi hawatakubali kupunguzwa…


UASU; Wataka Serikali Kuwalipa Nyongeza Ya Awali

Muungano wa wahadhiri wa vyuo vikuu UASU unatarajiwa kufanya kikao cha kuidhinisha hatua ya serikali¬† kuamua kuwalipa mshahara wa jumla ya Sh.7bn kwa awamu nne kuanzia mwaka 2017. Awali serikali ilitaka kuwalipa nyongeza ya mshahara…


Chepsirei; Furaha Kwa Wakulima

Wakulima katika maeneo ya Kerio Valley wana kila la kutabasamu baada ya taasisi ya Chepsirei kufunguliwa. Msimamizi wa shule hiyo Jacob Kotut amesema mbali na taasisi hiyo kupeana mafunzo¬†kwa vijana, wakulima pia watakuwa na fursa…Wanapatholojia wabaini kilichomuua Tob Cohen

Wanapatholojia walioupasua mwili wa mfanyabiashara raia wa Uholanzi Tob Cohen, wamedokeza kwamba tayari wamebaini kilichomuua Cohen japo ila hawataweka wazi kwa umma matokeo hayo kutokana na agizo la mahakama. Shughuli hiyo iliendeshwa jana kwa zaidi…


Kesi dhidi ya Gavana Sang Yasitishwa

Kesi inayomkabili Gavana wa Nandi Stephen Sang dhidi ya kuuchochea umma na kuzua vurugu, imesitishwa hadi wakati kesi ya pingamizi alilowasilisha katika Mahakama ya Juu hapa Mjini Eldoret itakaposikizwa na kuamuliwa Mahakama ya Juu ilikuwa…


Facebook189
Twitter38
Google+
Follow by Email