UASU; Wataka Serikali Kuwalipa Nyongeza Ya Awali

Muungano wa wahadhiri wa vyuo vikuu UASU unatarajiwa kufanya kikao cha kuidhinisha hatua ya serikali  kuamua kuwalipa mshahara wa jumla ya Sh.7bn kwa awamu nne kuanzia mwaka 2017.

Awali serikali ilitaka kuwalipa nyongeza ya mshahara kwa awamu mbili kuanzia mwaka huu hatua iliyopingwa vikali na wahadhiri hao.

Kwenye nyongeza hiyo mhadhiri wa kitengo cha profesa aliyekuwa akilipwa Sh.170, 000 mwaka 2017 sasa atalipwa Sh.283, 000 kufikia mwaka 2020, mhadhiri wa kitengo cha kawaida aliyekuwa akilipwa Sh.99,000 mwaka 2017, atalipwa Sh.160,000 kufikia mwaka 2020.

Katibu mkuu wa UASU Constantine Wasonga anasema uamuzi wa pamoja kuhusu suala hilo utatolewa kesho baada ya mkutano huo.

Please follow and like us:
error

Be the first to comment on "UASU; Wataka Serikali Kuwalipa Nyongeza Ya Awali"

Leave a comment

Your email address will not be published.


*


Facebook189
Twitter38
Google+
Follow by Email