Chepsirei; Furaha Kwa Wakulima

Jacob Kotut - mwalimu mkuu taasisi ya chepsirei Kerio Valley

Wakulima katika maeneo ya Kerio Valley wana kila la kutabasamu baada ya taasisi ya Chepsirei kufunguliwa.

Msimamizi wa shule hiyo Jacob Kotut amesema mbali na taasisi hiyo kupeana mafunzo kwa vijana, wakulima pia watakuwa na fursa ya kupata mafunzo kuhusiana na ufugaji wa nyuki.

Akiongea na wanahabari Kotut aidha ameongeza kuwa hatua hiyo itaenda kuhimarisha ajenda kuu nne za serikali.

Please follow and like us:
error

Be the first to comment on "Chepsirei; Furaha Kwa Wakulima"

Leave a comment

Your email address will not be published.


*


Facebook189
Twitter38
Google+
Follow by Email