Mbio Za Ukumbusho Wa Askofu Korir Yazinduliwa

Mbio za kumkumbuka askofu wa jimbo hili la eldoret marehemu Cornelius korir, imezinduliwa rasmi hii leo na padre mkuu William kosgei.

Akizungumza na wanahabari padre kosgei kwa niaba ya askofu msimamizi wa jimbo hili Maurice Anthony crawley, ametoa mwaliko kwa wananchi kwa ujumla kuweza kujitokeza kushiriki katika mbio hizo za nyika zitakazoandaliwa katika uwanja wa sports club hapa mjini eldoret tarehe 2 mwezi novemba.

Please follow and like us:
error

Be the first to comment on "Mbio Za Ukumbusho Wa Askofu Korir Yazinduliwa"

Leave a comment

Your email address will not be published.


*


Facebook189
Twitter38
Google+
Follow by Email