Kesi dhidi ya Gavana Sang Yasitishwa

Kesi inayomkabili Gavana wa Nandi Stephen Sang dhidi ya kuuchochea umma na kuzua vurugu, imesitishwa hadi wakati kesi ya pingamizi alilowasilisha katika Mahakama ya Juu hapa Mjini Eldoret itakaposikizwa na kuamuliwa

Mahakama ya Juu ilikuwa imetoa amri ya kusitisha kufunguliwa mashtaka kwa Gavana Sang wakati aliposhtakiwa katika Mahakama Jijini Kisumu mbele ya Hakimu Beryl Omollo.

Please follow and like us:
error

Be the first to comment on "Kesi dhidi ya Gavana Sang Yasitishwa"

Leave a comment

Your email address will not be published.


*


Facebook189
Twitter38
Google+
Follow by Email