Moi University; Afueni Kwa Waliotemwa Nje.

                                                                                                                                                   Mahakama ya Mombasa imewapa afueni Wanafunzi wapatao kumi na tatu kutoka kwenye chuo kikuu cha moi hapa eldoret, baada yake kuamuru kuwa kila mmoja alipwe shilingi elfu 50.

Mahakama hio aidha kupitia hakimu Pauline nyamwea, ilitoa agizo kwa chuo hicho cha moi kuweza kuwajumuisha kwenye mahafali ya mwezi disemba kwa misingi ya kutojumuisha majina yao kwenye orodha ya mahafali ya leo kuwa kinyume cha sheria na pia imekiuka haki zao za kikatiba.

Wanafunzi hao aidha ambao waliwakilisha kesi hio mahakamani kwa niaba ya wengine mia saba ambao pia walikuwa wamefungiwa nje kwenye hatua ya kufuzu ya mahafali.

Please follow and like us:
error

Be the first to comment on "Moi University; Afueni Kwa Waliotemwa Nje."

Leave a comment

Your email address will not be published.


*


Facebook189
Twitter38
Google+
Follow by Email