Sapit; Msiyagawanye Makanisa

Kiongozi wa kanisa la kiangilakana nchini askofu mkuu Jackson Ole Sapit ametoa wito kwa viongozi wa kidini nchini kumaliza utata uanaoshuhudiwa katika makanisa kwa njia ya amani.

Akizungumza kule Bungoma Sapit amesema kuwa kanisa linafaa kuwa mfano bora kwa jamii na hali ya vuta nikuvute hadharani na chche kali za maneno zinapotezea hadhi kanisa na kadahalika kuyagawanya makanisa katika makundi.

Vile vile kiongozi huyo wa Kiangilkana ametoa wito kwa serikali ya kitaifa kuongeza mgao wa fedha kwa serikali za kaunti akisema kuwa hali ya sasa inalemaza ugatuzi.

Please follow and like us:
error

Be the first to comment on "Sapit; Msiyagawanye Makanisa"

Leave a comment

Your email address will not be published.


*


Facebook189
Twitter38
Google+
Follow by Email