Chepsirei; Furaha Kwa Wakulima

Wakulima katika maeneo ya Kerio Valley wana kila la kutabasamu baada ya taasisi ya Chepsirei kufunguliwa. Msimamizi wa shule hiyo Jacob Kotut amesema mbali na taasisi hiyo kupeana mafunzo kwa vijana, wakulima pia watakuwa na fursa…Wanapatholojia wabaini kilichomuua Tob Cohen

Wanapatholojia walioupasua mwili wa mfanyabiashara raia wa Uholanzi Tob Cohen, wamedokeza kwamba tayari wamebaini kilichomuua Cohen japo ila hawataweka wazi kwa umma matokeo hayo kutokana na agizo la mahakama. Shughuli hiyo iliendeshwa jana kwa zaidi…


Kesi dhidi ya Gavana Sang Yasitishwa

Kesi inayomkabili Gavana wa Nandi Stephen Sang dhidi ya kuuchochea umma na kuzua vurugu, imesitishwa hadi wakati kesi ya pingamizi alilowasilisha katika Mahakama ya Juu hapa Mjini Eldoret itakaposikizwa na kuamuliwa Mahakama ya Juu ilikuwa…


Peter Chomba; Usalama Uimarishwe Eldoret.

Mwakilishi wa wadi ya Huruma kaunti ya Uasin Gishu Peter Chomba, ametoa wito kwa idara ya usalama kaunti hii kumakinika na kukabili visa vya uhalifu anavyosema vimekithiri eneo hilo. Chomba amesema wakazi wa eneo hilo…

Gavana Kimemia Awafuta Kazi Mawaziri

Gavana wa Nyandarua Francis Kimemia amewafuta kazi Mawaziri wanne saa chache tu baada ya kikao cha kuangazia utendakazi wa mawaziri kwa muda wa miaka miwili ambayo amehudumu kukamilika. Wanne hao wametimuliwa usiku wa manane leo hii,…


Facebook189
Twitter38
Google+
Follow by Email